Joto Vs Uchafu/Usafi

Uchafu ni laana !![emoji56]
 
Huyo hawezi kuwa shoga,wewe unayenukia marashi huku unavuja mavi huna maana
 
Nunua gari mkuu uepukane na hizo kero! Ila kwenye daladala hakuna namna vumilia hali zote
Hajazungumzia kero ya usafiri bali kero ya mtu kuwa mchafu.

Hivi mnasoma mada mkaelewa ama ni kukurupuka tu?

Ukinunua gari huwezi kukutana na watu wachafu kwenye masoko ama mikusanyiko ya watu wengi ambapo huwezi kuingia na gari?

Too pathetic.
 
Uko sahihi kbsa NAMI ngoja ntaanza kutembea na sanitizer Kila sehem nitajilazimisha uwe utaratibu wangu sio kama kipindi Cha coronavirus tulivyolazimishwa
 
Huyo hawezi kuwa shoga,wewe unayenukia marashi huku unavuja mavi huna maana
Mim sijapaka marashi Nina miaka zaidi ya 10 na hata ningepaka hakuna tatizo kuwa nadhifu ,alafu itakuwa wew ndo shoga manake mada inahusu usafi binafsi wa mwili we unaleta mambo ya ushogana tukikuchunguza zaidi hapo marinda yametepeta Kila muda unatoa michuzi tu...kwamba baba Yako alivyokuwa anakusisitiza usafi naye alikuwa shoga?
 
Hajazungumzia kero ya usafiri bali kero ya mtu kuwa mchafu.

Hivi mnasoma mada mkaelewa ama ni kukurupuka tu?

Ukinunua gari huwezi kukutana na watu wachafu kwenye masoko ama mikusanyiko ya watu wengi ambapo huwezi kuingia na gari?

Too pathetic.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni ule ujinga wa wanaume kutooga au kupenda usafi eti ndo uwanaume..yani tena ukute mtu kavaa jezi za timu zetu hizi uwiiii ukipishana nae ni kama furnace la kuchomea taka za hospital anavyotema...
 
Daaah mm ningempisha akae yeye ili asije akanipakaza usoni uwii...
 
Ni ule ujinga wa wanaume kutooga au kupenda usafi eti ndo uwanaume..yani tena ukute mtu kavaa jezi za timu zetu hizi uwiiii ukipishana nae ni kama furnace la kuchomea taka za hospital anavyotema...
Uko Sahihi kbsa alafu Kuna wajinga wengine wanatetea huu upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…