namba moja tuu
Senior Member
- May 4, 2017
- 162
- 142
habari wataalam kuna mtoto wa miaka miwilina miezi mitatu joto lake LA mwili halipungui amepata dawa za malaria na UTI lakini joto bado naomba kujuzwa tatizo ni mini hasa joto ndo linachanganya sana
Takribani wiki sasa dawa za malaria amemaliza
Amepima ndio kapewa hizo dawaHizo dawa za UTI na Malaria umempatia bila kufika kwa wataalamu wa afya kufanya vipimo?
Nashauri ufike hospital haraka mtoto achekiwe na mtaalamu wa afya.
Takribani wiki sasa dawa za malaria amemaliza
Nambie MKUU hats unitishi ila kuniweka wazi tuuMkuu mimi mtoto mwenye tatizo kama hilo nimewahi kukutana nao wengi sana na madactar wengi hawajui tiba ya ugonjwa huo.
Jina la kitaalamu linaweza kukuchanganya nikikwambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Amepima ndio kapewa hizo dawa
Angalia masikio yake yana hali gani. Ear infection kwa watoto ni mbaya na hujui kama anaumwa sijui. Nendeni hospitali kwa uchunguzi zaidi.
Tumeenda tumetoa maelezo tumeambiwa hvyoAngalia masikio yake yana hali gani. Ear infection kwa watoto ni mbaya na hujui kama anaumwa. Nendeni hospitali kwa uchunguzi zaidi.
Mlipima damu?
habari wataalam kuna mtoto wa miaka miwilina miezi mitatu joto lake LA mwili halipungui amepata dawa za malaria na UTI lakini joto bado naomba kujuzwa tatizo ni mini hasa joto ndo linachanganya sana
dalili ya animonia.nimeona sana kwa watoto wadogo.tatizo kuwashindika nguo nyingi wakizani wanawakinga baridi.wapate wataalamu wa toto sio hospitali za wakina juma na john kasikia mwili unauma kakimbilia kupima malaria.wakati kila siku tunayoKwanini amepewa dawa za malaria bila kupimwa damu?
Mpe kapol (paracetamol ya watoto)
Punguza nguo alizovaa ikiwezekana abaki na chupi pamoja na vest.
Apelekwe hospitali.