SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Taarifa zilizonifikia ni kwamba Mb Joshua Nassari alikuwepo katika kikao cha Young African Leaders, ambacho Rose Odinga alidanganya dunia nzima kuwa Oldupai Gorge iko Kenya
My Take
My Take
- Kwanini Nasari alikaa kimya na hakukemea uongo huo kwa namna yoyote ile palepale ukumbini, hata kwa kuprotest, au alikua amesinzia
- Je, Nasari anajua kingereza, na kama hajui, ilikuwaje akawakilisha viongozi vijana katika vikao asivyoelewa hata lugha inayotumika?
- Kama anajua, kwanini hakureport suala hili katika ofisi za bunge au mamlaka husika, aliporejea Tanzania?
- Nasari asiwakilishe tena vijana wa Tanzania katika high profile meetings sababu amethibitisha ni jinsi gani hawezi kuitetea nchi yake nje ya nchi