illestEl
Member
- Feb 6, 2017
- 53
- 41
Ni mambo mazito na ya muhimu sana aliyoayaongea Mbunge Sugu bungeni naona pongezi. Lakini ka msingi zaidi ni kwamba shutuma sio kitu kibaya kumshutumu mtu kwa kosa lakini mpaka unafikia hatua ya kuitwa polisi na kuekwa rumande Ina maana kuna ushahidi tosha dhidi yako.
Na ndio maana mtu unaeza ukawa suspected of a crime ukaitwa polisi ukahojiwa (bila kutangazwa unless ukimbie) ukionekana kwamba ur innocence unakua cleared wanatafutwa suspects wengine.
Sasa hapa mi naona tactic ya kuita watu IJUMAA CENTRAL ni mbovu na inapoteza credibility ya hii kitu mzima.
Kama ni shutuma hata makonda na yeye anazo akitangazwa kwenye press conference unafikiri hili jiji atakaa kweli au hata uko kwao unafkiri atathubutu kuenda.
Yangu macho