Ndugu wanajf kuna huyu ndugu mtajwa hapo juu ni tapeli msitume pesa kwake za kununua bata au kuku
vinginevyo mtalizwa kama alivyotutenda sisi..kipekee nimechukua hatua za kisheria na punde nitwapa muafaka wa hili liko mikononi vyombo vya usalama..amenitapeli tangu december 16/12/2014.ametapeli 240,000mpaka leo anadanganya anatuma leo kesho,,leo kesho ushahidi upo wa sms na mtu aliyemwagiza alete hao bata ,kwa kua ni member humu ajue kazi yake immeisha arudishe hela au mzigo hii haina suluhu kwake .naomba kuwasilisha wanajf!!!!!!!!!!!!!!

240,000/- Kelele zote hizo inaonyesha jinsi gani Watanzania tulivyo masikini na ndio maana CCM wanapata mwanya wa kutawala kwa kuwahonga wali, kanga na kofia

December 16/12/2014...mbona haijafika mkuu. Acha kutufanya maboya.
Nashauri JamiiForums waifute thread hii
Mrudishie badi kama unaona ni kidogo. Wenye upungufu wa akili utawajua tu. Wewe unsjua kiwango cha chini cha mshahara kilichowekwa na serikali?
Huo karibia na mshahara wa mtumishi wa serikali tena basic.
Acha dharau alafu kumbuka masikini wewe na ndugu zako; mtu kudai haki yake haimanishi kuwa yeye ni maskini
Wewe acha ujinga 240,000/= anakuja kuzidai kupitia JF umeambiwa Jukwaa hili ni kwa ajili ya kutangaziwa watu madeni?kuna siku huyo mleta mada atagongewa mkewa na kutuwekea humu kuwa kuna jamaa kamgongea mkewe kwa hiyo anatuomba tumuogope sana huyo jamaa.