Jose Mla vichwa ni hatari.

Wasiomla kambale ni wasabato na sio waislamu.

Mbali na kambale ,hawamli pia ngamia.
Usolazomisha sheria za kutomla nguruwe, mnyama asiwe na kwato, asie cheua na samaki asie na magamba ni sheria zolizo kwenye ukurasa mmoja wa agan9 la kale. Kwa hio muislam anatumia shrria hani kumla kambale na kutomla nyoka?
Hizo ni sheria za musa.
 
Angeletwa CCM ale vichwa kadhaa pale...//.
 
Sema tu nyama ya kenge inaongeza nguvu za kiume uone mapori yatakavyofwekwa kutafuta kenge...Sasa watu wanakula yale madudu Pweza inakuwaje kuhusu kenge au panya?
 
Tatizo la wanyama wala nyama kama kenge na nyoka ni kuwa na magonjwa mengi sana. Ila nyama ni nyama.
 
Kila mtu ashinde mechi zake aisee haya mambo ni makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…