Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,177
- 34,354
Kifua.baba, we fuga Tumbo.Sema cha ajabu mchizi mademu wengi wanamuelewa kinoma.
...Usikute anakula hadi vidume msawazo...
Mmesema Hana kinyaa😝
Aisee, kumbePanya (Ndezi)
analiwa na wamakonde, wasafwa, Wamalila, Wazaramo , Wandengereko, Wamwela.
Chatu
analiwa na Wangoni, Wandendeule, Wamanda, Wayao,Wakisi.
Kenge
Awe Mbulu au Maji analiwa na Wazaramo, Wandengereko, Wanyagatwa, Wakwele, Wazanzibari, Wamatumbi, Makabila ya Morogoro, Wamakonde.
Hivyo jamaa yupo sahihi vyakula vingi vinaliwa kasoro ni tamaduni tu
AiseeeWaarabu wanakula sana kenge tangu enzi na enzi
Nimeshuhudia kwa macho yangu wakiwa wanakula
Nyama ni nyeusi sana na haina sumu
Ila ni mgumu sana kuiva inachukua mda
Halafu hata ukiwa unapakua bado nyama inatetemeka
Kuhusu chatu au Nyoka wakubwa pia wanaliwa sana sehemu nyingi duniani
Pia nimeona huko Thailand na majiji mengine wakila na hata kunywa damu yake
Duniani kuna mambo huyu cha Mtoto maana amepunguza gharama za maisha tu
Kuna mzungu mmoja hapa 🇬🇧 yeye kazi yake ya kujipatia riziki ya mlo ni barabarani tu kwa miaka zaidi ya 30Aiseee
Asili ndio jnini? Dini tu ndio zimetugeuza mazombi. Waislam tunakatazwa hadi kula kambale eti hana magamba.Cha aajabu unakuta sio asili yake kufanya hivyo
Ila anafanya hivyo kwa ajili ya kupata umaarufu
Humanity is a mystery
Wasiomla kambale ni wasabato na sio waislamu.Asili ndio jnini? Dini tu ndio zimetugeuza mazombi. Waislam tunakatazwa hadi kula kambale eti hana magamba.
Kuna samaki wanafana na nyoka kabisa ila wanaliwa ila nyoka eti haliwi kisa eti nyoka ni shetani.
Nenda Feli utakuta vidudu vya ajabu lama kaa wanaliwa ila konono tusimle. Senene aliwe ila panzi tusimle.
Sababu kubwa ni ukoloni wa fikra za azungu na warabu hakuna kingine.
Punda kama punda tusimle, kwa sababu gani ?
Huyu jamaa nampongeza kufanya decolonization of whitewashed mind.
Kwa sasa kuna uamsho mkubwa sana wa kuanza kuhoji kila upuuzi wa mzungu na mwarabu na utapuuzwa si mda mrefu na watu kurudi kwenye asili. Asili ni kama hadzabe life sio hio ya wazungu.
I'm telling you tutarudi kula hadi nyasi walizokuwa wanakula babu zetu. Ng'ombe anaishi kwa majani ila sisi wazungu wametupanga. Tunaweza kuishi hata kwa kula majani na mizizi.