Jordan is Palestine

Dont worry, It will not happen in your lifetime.
Hiyo Imani ya kweli ni ipi unayoizungumzia? na Imani ya uongo ni ipi?

" Hakuna mola apaswae kuabudiwa kwa haki, ila (Mwenyezi MUNGU)mmoja tu, yeye pekee ndie anae kusudiwa (yeye hakusudii/kuomba popote), hakuzaa wala hakuzaliwa na hafanani na cho chote !" chukua imani nyingine yeyote uijuayo na kama mungu wao ana kosa hizo sifa hizi, basi ni IMANI YA UONGO!
 
Pole sana kama unaabudu mungu asiefanana na chochote, Nilidhani mungu wako amekuumbeni kwa mfano wake kumbe sivyo!!!!, Hii ndio imani ya waarabu unaowatetea inavyosema?
Sasa wewe umeumbwa kwa mfano wa nani?

Vipi Bwana Mbona huna comments kuhusu maangamizi ya Jews yanayofanywa na Waarabu? Bado unawatetea?
 
1. Mbona umeng'ang'ana na Waarabu hivyo? whats your point ? tupe kisa cha Muarabu kumuangamiza Myahudi kama walivyofanya watu wa Magharibi!
2. Nimeumbwa kwa mfano wa mtu, asilan Mwenyezi Mungu wangu hafanani na chochote! Mungu wangu mie husema " kuwa na kitu kikawa hapo hapo, yeye pekee hapatwi na mauti (Timotheo 6:16) wako ana fanana na wewe na akili zake kama zako na anaenda choo kama wewe na iko siku atakufa kama wewe! sijui Dunia itabaki na nani?
 
Hitler aliwindwa yeye na Washirika wake Dunia nzima, hebu tupe mfano wa Waarabu walioshitakiwa kwa hiyo Genocide uliyoieleza hapo!
 
Because they keep propagating their hatred and lies about the so called ''Palestinian Thing'' and you are blindly supporting them
About your so called god, I'd rather keep my comments for now.
 
Because they keep propagating their hatred and lies about the so called ''Palestinian Thing'' and you are blindly supporting them
About your so called god, I'd rather keep my comments for now.
huyu jamaa ni headache. Allah akisema, basi haelewi kitu kingine. Mwalimu wake madrassa hapati shida kum brainwash!
 
huyu jamaa ni headache. Allah akisema, basi haelewi kitu kingine. Mwalimu wake madrassa hapati shida kum brainwash!
Uliokuwa Brainwash ni wewe unaeambiwa na Wazungu "MTU ni MUNGU" Allah anajua yaliofichika na yaliyo dhahiri, yeye tu ndie anakusudiwa, yeye haombi msaada kwa yeyote (Eloi Eloi mbona unaniacha!)!
 
Mkuu asante kwa kuonyesha ufahamu wa Historia. Asante kwa kueleza jinsi waarabu walivyovamia North Afrika na kuteketeza wenyeji wote wa nchi hizo. Hata sasa tunaona kinachofanyika Sudan, Bado wanaendeleza uharamia wao waliouzoea. Ila Kwa wayahudi wamekutana na kisiki cha mpingo ndio maana wanabaki kulialia tu na kutaka waonewe huruma.
 
Dont worry, It will not happen in your lifetime.
Hiyo Imani ya kweli ni ipi unayoizungumzia? na Imani ya uongo ni ipi?

Baada ya October ni November! Dont worry it will happen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…