Samahani kaka historia yako ina udhaifu kidogo.Kihistoria ya siku za karibuni, hicho kipande cha dunia kimekuwa kikibadilishwa jina na kutawaliwa na watu mbali mbali. Mfano hii hapa chini ni bendera ya nchi iliyokuwa inaitwa "The British Mandate for Palestine" ambayo ndiyo iligeuzwa na kuitwa Israel ya sasa (mwaka 1948). Kabla ya hapo ilitawaliwa na Waturuki (ilikuwa ni sehemu ya Ottoman Empire). Ila siku zote wakazi wake asilia ni Wayahudi + pockets za Waarabu
Hatukuzwi mtu wala kabila lake! tumeumbwa kwa makabila tofauti ili tujuwane tu! Kila jina la nabii kama nilivyotaja hapo juu, sisi (waislam) tukilitaja basi mbele yake tunamuombe! Mfano: Mussa A.S (aliy salatu wasalaam), Issah bin Mariam ( Aliy salatu wasalaam) maana yake Amani ya mwenyezi mungu na iwe juu yake ! ATUKUZWAE ni MUNGU TU!! hatuna shughuli na kabila la mtu!
Samahani kaka historia yako ina udhaifu kidogo.
A) Palestina ya Kiingereza haikuendelea kama dola la Israel. Iligawiwa na Umoja wa Mataifa kuwa sehemu 2: ya kiyahudi (>Israel) na ya Kiarabu (iliyotwaliwa baada ya vita ya 1948 na Misri = Gaza na Jordani=sehemu magharibi ya mto Jordan). ling. United Nations Partition Plan for Palestine - Wikipedia, the free encyclopedia
B) Kuhusu wakazi asilia: sehemu hizi hakuna "asilia" kwa maana hii yaani katika historia ndefu wenyeji walibadilisha utamaduni na dini mara kadhaa. (Waarabu Wapalestina wengi wa leo ni wajukuu wa Wayahudi wa siku za Yesu waliokuwa Wakristo baadaye halafu Wasilamu na kutumia Kiarabu)
Kabla ya 1914 wakazi wengi walikuwa Waarabu (Waislamu na Wakristo) pamoja na Wayahudi wachache ("pockets" ukipenda).
Tangu uhamiaji wa Kizionisti idadi ya Wayahudi iliongezeka polepole hadi kufikia 1/3 ya wakazi maana idadi ya wayahudi ilikuwa nusu ya Waarabu mwaka 1947.
C) Wakati wa vita ya 1947/48 Waarabu walifukuzwa au kukimbia ni wachache waliobaki kama 15% za wakazi wa nchi ya Israel.
D) Idadi hii ya raia Waarabu ndani ya Israel imeongezeka kuwa karibu 25% kwa sasa wengine Wayahudi au wenye asili ya Kiyahudi.
E) Nje ya hayo Waarabu wanaoishi katika sehemu za Kipalestina chini ya utawala wa Kijeshi wa Israeli na kanda la Gaza.
hiyo post yangu inafafanua kuhusu mtu na kabila la mtu, so usijifanye hamnazo bwana!Unamwombea mtu aliekufa ili iweje?
Kama unataka kuanzisha mada nyingine ya kuombea wafu ipeleke kule kwenye jukwaa la dini, Utajibiwa barabara. Hapa tunajadili kuhusu the so called 'Palestinian Mith'.
Hapo nimeelimika. Sasa bila kurespond kishabiki, naomba kudiscuss hoja ya kuwa 'Taifa la Israel' lilipewa nchi ya ahadi na 'mungu wa Israel'. Je hoja hii ina mshiko wowote katika set-up ya ulimwengu wa sasa. Kwa mantiki hiyo kila jamii leo hii ikiclaim rights of land kwa kutumia ahadi au maandiko ya BC je itakuwa na uhalali wowote kisheria?. Nadhani ndio maana ikaundwa United Nations kusettle issues kama hizi. 'Taifa la Israeli' ni moja ya mataifa ya mwanzo kuanza kupata settlement ya aina hii ingawa inasemekana UN yenyewe ilifanya makosa. Hata waisrael wenyewe walikuwa hawana hoja ya kisheria ya kusettle hapo walipo. Kwa sababu sehemu hiyo ilishaexchange authorities mara kadhaa kiasi cha kuwa eneo hilo kupoteza valid identity ya kitu kama 'Israel'. Hata ndani ya waisrael wa sasa wanatofautiana sana na dhana ya uundwaji wa taifa la Israel la kizayuni kwani kwa kufanya hivyo ni kuunda taifa kwa misingi ya kibaguzi. Hoja ya sasa kuwa Palestine ni Jordani ni baadhi ya mishiko dhaifu ya kutaka kujustify uovu wa kuanzishwa kwa Israel. Mbona kwa muda wote huo tangu 1948 hoja hii ilikuwa wapi??:teeth::embarrassed::redfaces:
1. Ndio huwa tunawaombe watu waliyo tangulia mbele za haki (kufa), kwa kawaida siku kuu zote kubwa za Kiislaam (Idd el Haj, au Fetr) baada ya kuswali asubuhi tendo muhimu ambalo hufuatia aidha kuzuru makaburi na kuombea dua nduguzako au kufanyia hiyo shughuli majumbani kwa kutaja majina yao ! pengine nikuulize misa ya kuwaombea wafu huwa ni ya nini?Unamwombea mtu aliekufa ili iweje?
Kama unataka kuanzisha mada nyingine ya kuombea wafu ipeleke kule kwenye jukwaa la dini, Utajibiwa barabara. Hapa tunajadili kuhusu the so called 'Palestinian Mith'.
Hitler na watu wa Ulaya ndio wanawachukia Waisrael !Unasahau kuwa Jews wamekua wakiishi katika hilo eneo for thousands of years. Sasa iweje wasiwe na haki y a kuunda taifa lao? Hata kama walipigwa na kutawanyika kila mahali ulimwenguni mwote lakini ni ukweli kwamba wapo wengi tu waliosalia na walioendelea kuishi katika hilo eneo wakiendeleta tamaduni zao na dini yao.
Mfano Mzuri ni Iraq, Pamoja na kwamba wamepigwa na wengi kukimbia nchi yao lakini ukweli unabakia kuwa bado nchi ile ni ya wa Iraq na hata walioondoka wana haki ya kurudi katika nchi yao. Mfano mwingine ni Somalia, Hata pamoja na kwamba wengi wameikimbia nchi yao, itakua ni wendawazimu kusema kua wasomali waliobakia hawana haki ya kuwaita ndugu zao warudi kuja kuendeleza Somalia. Ulitaka na Tanzania ilipopigana na Waganda iwaondoe waganda na kuwakatalia watoto wao wasirudi katika nchi yao? Ni sheria ipi inayosema nchi ikishapigwa kivita haina ruhusa raia wake kurudi tena katika nchi yao?
Nashangaa wanaodiriki kusema Israeli haina uhalali wa kukaa katika nchi yao, wanatumia kigezo gani? Iweje leo museme eti hawana uhalali wa kuishi katika eneo ambalo wamelikalia kwa miaka yote hii.
Hao waarabu wanaojiita wapalestina kutoka Jordan, Misri na Yemen ndio wavamizi waliovamia eneo hilo japo waliwakuta wayahudi wakiishi huko, Kwa vile Waisraeli walikuwa weakened kwa sababu ya kupigwa ndio maana walikuwa overpowered na waarabu kwa sababu ya wingi wao lakini bado hii haiondoi uhalali wao wa asili wa kuishi katika eneo hilo.
Wavamizi ni waarabu walioenda kuingilia eneo lenye watu na kuling'ang'ania.
Acheni double Standards na kendekeza unafiki wa Kiarabu na ushabiki usio na kichwa wala mkia. Hii yote ni kujiingiza kushabikia chuki za waarabu dhidi ya Jews. Hili liko wazi kuwa Waarabu wanawachukia Jews na mwanzilishi wa chuki hizi tunamjua na sababu ya chuki hii inajulikana.
Nimekuambia anzisha thread nyingine kama unataka kujadili hii mada ya kuombea wafu, usichanganye Madesa tafadhali, au unaogopa? Usiogope wee anzisha tu utajibiwa1. Ndio huwa tunawaombe watu waliyo tangulia mbele za haki (kufa), kwa kawaida siku kuu zote kubwa za Kiislaam (Idd el Haj, au Fetr) baada ya kuswali asubuhi tendo muhimu ambalo hufuatia aidha kuzuru makaburi na kuombea dua nduguzako au kufanyia hiyo shughuli majumbani kwa kutaja majina yao ! pengine nikuulize misa ya kuwaombea wafu huwa ni ya nini?
Kwa hiyo unataka kuniambia kua Waarabu wanawapenda Waisraeli? Au ndio wanataka wanamalizia ile kazi aliyoshindwa kufanya Hitler? Naona wanajitahidi sana kufanya kuwa na ufanisi katika kutekeleza dhamira yao.Hitler na watu wa Ulaya ndio wanawachukia Waisrael !
Hitler na watu wa Ulaya ndio wanawachukia Waisrael !
We ni kichwa maji ! .................. ndio maana ukilala ukiamka ni Waisraeli, waisraeliiiiiii, waisraeliiii, vp mwenzetu?! naona unatamani hata kuzaa nao ! pole !Nimekuambia anzisha thread nyingine kama unataka kujadili hii mada ya kuombea wafu, usichanganye Madesa tafadhali, au unaogopa? Usiogope wee anzisha tu utajibiwa
Apeleke hizi Thread (OCTOBER) kwa OBAMA, maana jamaa hana mpya ni hao hao tu ! kama ilo shamba wanalo gombea na Waarabu kaambiwa atagaiwa nusu heka!Suala la Palestina na Israel acheni kulijadili kiupambe tu. Suala hili ni gumu sana inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Maana hawa wote Israeli na Palestina wanatoka mbali yaani kwa Ibrahimu/Abraham. Jiulize Ibrahimu alitoka wapi? Na je kipindi anahamia hapo Yerusalemu hakukuwepo na mtu? Je Israeli ni nani? Halafu angalia dunia ilikuwaje enzi hizo? Je wabantu nao warudi Kameruni kwa sababu walikuwa wanaishi huko? Je ni nani mwenye kwao katika Tz? Basi weusi wa Marekani nao warudi kwao!! Wazungu wa Marekani nao warudi kwao!! Warabu wa Afrika nao warudi kwao!!!! Nani atabaki? Na wapi hapo?
Suala la Mashariki ya Kati linahitaji uvumilivu na utashi mkubwa sana katika kufanya maamuzi au kujadili.
Jifunze kuuliza maswali ! ushanza kunibore na Wayahudi wako ! kutwa wewe ni Wayahudi tuu, huna kitu kingine unaona huku Duniani ? Mara Wayahudi wana Akili sana mara sijui nini ! grow up dude!Kwa hiyo unataka kuniambia kua Waarabu wanawapenda Waisraeli? Au ndio wanataka wanamalizia ile kazi aliyoshindwa kufanya Hitler? Naona wanajitahidi sana kufanya kuwa na ufanisi katika kutekeleza dhamira yao.
Umesema Hitler na watu wa Ulaya ndio wanawachukia Waisrael !Jifunze kuuliza maswali ! ushanza kunibore na Wayahudi wako ! kutwa wewe ni Wayahudi tuu, huna kitu kingine unaona huku Duniani ? Mara Wayahudi wana Akili sana mara sijui nini ! grow up dude!
Kuna Muarabu yeyote alietia Wayahudi kwenye tanuri? kuna Muarabu aliyewahi kuwaua Wayahudi kwa gesi? uliza maswali sio majibu!Umesema Hitler na watu wa Ulaya ndio wanawachukia Waisrael !
Kwa hiyo unataka kuniambia kua Waarabu wanawapenda Waisraeli?
Mbona hujubu hili swali?
Unasahau kuwa Jews wamekua wakiishi katika hilo eneo for thousands of years. Sasa iweje wasiwe na haki y a kuunda taifa lao? Hata kama walipigwa na kutawanyika kila mahali ulimwenguni mwote lakini ni ukweli kwamba wapo wengi tu waliosalia na walioendelea kuishi katika hilo eneo wakiendeleta tamaduni zao na dini yao.
Mfano Mzuri ni Iraq, Pamoja na kwamba wamepigwa na wengi kukimbia nchi yao lakini ukweli unabakia kuwa bado nchi ile ni ya wa Iraq na hata walioondoka wana haki ya kurudi katika nchi yao. Mfano mwingine ni Somalia, Hata pamoja na kwamba wengi wameikimbia nchi yao, itakua ni wendawazimu kusema kua wasomali waliobakia hawana haki ya kuwaita ndugu zao warudi kuja kuendeleza Somalia. Ulitaka na Tanzania ilipopigana na Waganda iwaondoe waganda na kuwakatalia watoto wao wasirudi katika nchi yao? Ni sheria ipi inayosema nchi ikishapigwa kivita haina ruhusa raia wake kurudi tena katika nchi yao?
Nashangaa wanaodiriki kusema Israeli haina uhalali wa kukaa katika nchi yao, wanatumia kigezo gani? Iweje leo museme eti hawana uhalali wa kuishi katika eneo ambalo wamelikalia kwa miaka yote hii.
Hao waarabu wanaojiita wapalestina kutoka Jordan, Misri na Yemen ndio wavamizi waliovamia eneo hilo japo waliwakuta wayahudi wakiishi huko, Kwa vile Waisraeli walikuwa weakened kwa sababu ya kupigwa ndio maana walikuwa overpowered na waarabu kwa sababu ya wingi wao lakini bado hii haiondoi uhalali wao wa asili wa kuishi katika eneo hilo.
Wavamizi ni waarabu walioenda kuingilia eneo lenye watu na kuling'ang'ania.
Acheni double Standards na kendekeza unafiki wa Kiarabu na ushabiki usio na kichwa wala mkia. Hii yote ni kujiingiza kushabikia chuki za waarabu dhidi ya Jews. Hili liko wazi kuwa Waarabu wanawachukia Jews na mwanzilishi wa chuki hizi tunamjua na sababu ya chuki hii inajulikana.
Kwani kifo ni mpaka uwekwe kwenye tanuru? Au kifo ni mpaka uuliwe kwa gesi? Mbona Waaarabu wamekua wakiwaua Jews kwa muda mrefu sana? Hitler just copied whet aArabs were doing, He only perfected the methodology used.Kuna Muarabu yeyote alietia Wayahudi kwenye tanuri? kuna Muarabu aliyewahi kuwaua Wayahudi kwa gesi? uliza maswali sio majibu!
Kama kuna ubaya wa Waarabu juu ya Waisraeli useme hapa!
Wayahudi wanabana wee iko siku watatoa...ngoja uncle Sam (US) achoke
Ataketi kwa heshima na ndugu (binamu/kaka) yake mwaarabu
Hata siyo siku nyingi sana, hawana lolote ubaguzi, know much, misifa, na jeuri za kijinga zinawasumbua kwa sasa
Wataachia hako kainchi wenyewe usicheza na imani ya kweli mkuu