Je wewe unamiliki website iliyotengenezwa kwa joomla 1.5 na ungependa kufaidi mambo mazuri (likiwemo la usalama) kwenye Joomla mpya 2.5 au 3? Je website yako ya Joomla imekuwa taratibu mno na kukufanya uchanganyikiwe usijue nini cha kufanya? Je unataka kufunguka zaidi kwa kuwawezesha watembeleaji wanaotumia simu (sio smart phone) ?
Dudumizi Joomla Website Administration ndio jibu sahihi la maswali haya. Tuna uzoefu wa miaka kadhaa sio tu kwa kutengeneza tovuti zenye ubora wa kimataifa kwa kutumia joomla, bali hata mafundisho ya joomla na mengineyo.