Tangia tupate uhuru zaidi ya miaka takribani 50 haukna kiongozi yeyote yule ambaye tulimchagua kwa kupitia nguvu ya wanachama na hatamaye akagombea uraisi...........................ni demokrasia yetu badi ni finyu sana na ndiyo maana viongozi wetu ni wabovu......................na huhakikisha wanazungukwa na vibaraka ambao si lolote wala si chochote kile....................