Jokate mwee naumia mwenzio lol..

Gulaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
659
Reaction score
230
we mtoto am coming this time money itaongea..siwez vumilia mimi loooh..
 

Attachments

  • jokate.jpg
    59.6 KB · Views: 887
we mtoto am coming this time money itaongea..siwez vumilia mimi loooh..

una haki ya kulalamika duh!!bt nakuomba hzo pesa utakazo 2mia kumpata,na mm anisaidie kunionjesha kwa hzo hzo pesa zako ulizompa,
 
Binadamu bwana yeye mtima umefika nyie hamtaki kwa sababu zenu mnataka afike kwenu au??acheni hizo wewe mwanamume mwenziyo unataka achukue demu wewe unayemtaka??mpe da.........kama unata amechi na wewe kimawazo!
 
Unaambiwa tembea uone,jamaa bado anatembea ila sasa hivi ndio amekutana na Jokate,so tumpe muda.

kweri mkuu tumpe muda wakuzunguka huenda kesho atasema wema sepetu
 
Hata kama ni collabo si na wewe unachangia, lol!
Ila kiukweli Jokate ni mrembo.
una haki ya kulalamika duh!!bt nakuomba hzo pesa utakazo 2mia kumpata,na mm anisaidie kunionjesha kwa hzo hzo pesa zako ulizompa,
 
nasikia kwa humu ndani anatumia jina la Madamex, m- pm
 
"Beauty is in the eyes of beholder"kweli nimeamini,maana mimi namuona ni wa kawaida sana!
 
TUKUTUKU UNATAKA KUBISHANA HADI NA UZURI WA DUKANI??? nenda pale Mlimani nphotoshop hata wewe mwenyewe utajisahau
 
una haki ya kulalamika duh!!bt nakuomba hzo pesa utakazo 2mia kumpata,na mm anisaidie kunionjesha kwa hzo hzo pesa zako ulizompa,

Mwe! kakyanani muumba ana kazi, haya maombi haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…