Dalili zote zinaonyesha kuwa Chadema itaunda serikali 2015. Kama mjuavyo, CCM ina wenyewe ndio hao akina Makamba ambao baba waliwatengenezea system. Wewe kijana usiye na stake kwenye system ni nafasi yako pekee kuingia na chadema 2015. Ukipoteza nafasi hii hutakaa upate nafasi tena, that is to say, you will perish. Chulueni udiwani, ubunge, nafasi za ubalozi, uwaziri, vitengo nyeti, kutakuwa na manafasi kibao. Lakini kama hujapigania chama utapataje stake yako muda ukifika? Amka sasa, acha kuzubaa
Mimi nadhani jamaa yupo right. Ukitaka kuwa sehemu ya serikali ijayo jiunge na washkndi. Ila sababu ya ccm kuwa madarakani ni tofauti na sababu ya chadema kutaka kuinhia madarakani. Chadema itaingia kurekebisha system lakini kama wewe hutaisaidia chadema ili nawe uwe sehemu ya system, utayafaidi vipi matunda ya tanzania mpya?Nikisema vijana kizazi cha mbwa vijana wenzangu wananichukia haya mifano hiyo kwa hiyo watu wajiunge na chadema kutengeneza system ya kupata udiwani,ubunge,ubalozi,uwaziri.sasa kama unahamasisha vijana waingie kwenye system bila maadili si unatengeneza ccm ya miaka 10 ijayo.
Chadema inahitaji waadilifu,wasafi wenye uwezo mkubwa wa kuongoza sio kupata hiki kizazi cha mbwa chenye tamaa kibao za maisha bora tukipata viongozi 100 wasafi wachapakazi nchi yote itabadilika kuliko kulazimisha waovu kukimbilia chadema.
Kama wewe ni mtanzania mwenye akili timamu usiwaachie CCM wapate hata balozi wa nyumba kumi bila kupingwa hatakama sehemu husiaka wote ni familia ya kikwete wewe gombea...Hahaha kaka upo sahihi ngoja sie tusio na historia ya uongozi kwenye familia zetu tupiganie chadema wetu tuwe wajumbe wa nyumba kumi
Kama wewe ni mtanzania mwenye akili timamu usiwaachie CCM wapate hata balozi wa nyumba kumi bila kupingwa hatakama sehemu husiaka wote ni familia ya kikwete wewe gombea...
Ni fikra mfu, wewe ndani ya ccm huoni upendeleo?Mie naitwa chilisosi, jee na mimi nitapewa choe kama akina mosha, masawe, na urassa?
choe ni kitu gani?kama ulimaanisha cheo basi ujue kinatafutwa na sio kupeana kama ccmMie naitwa chilisosi, jee na mimi nitapewa choe kama akina mosha, masawe, na urassa?
Dalili zote zinaonyesha kuwa
CHADEMA itaunda serikali 2015. Kama mjuavyo, CCM ina wenyewe ndio hao
akina Makamba ambao baba waliwatengenezea system. Wewe kijana usiye na
stake kwenye system ni nafasi yako pekee kuingia na chadema 2015.
Ukipoteza nafasi hii hutakaa upate nafasi tena, that is to say, you will
perish.
Chukueni udiwani, ubunge, nafasi za ubalozi, uwaziri, vitengo nyeti,
kutakuwa na manafasi kibao,lakini kama hujapigania chama utapataje stake
yako muda ukifika? Amka sasa, acha kuzubaa.