Poleni sana wahusika wote (wanafamilia). Pole zaidi kwa Mama Maria Nyerere, kwa maana uchungu wa mwana aujua mzazi. Na kwa mzazi pengo la mtoto halizibwi na mtoto mwingine. Kwa kuwa Mama yetu ni kipenzi cha Munyenzi Mungu, tunakuombea akupe nguvu za kukabiliana na uchungu ulionao. Pole sana, na tumuombe Mungu wetu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema. Amina.