Wadau hivi tuseme mara ngapi kuwa huyu mtoto wa Kihehe HANA uhusiano na Mwalimu Nyerere?
Yaani kawatapeli kijinga na nyie mnaingia wazima!
Mjini kubaya sana. Huyu Yerico ni MUHEHE wale wenye tabia za kula wale wanyama wanaokatiza brbrni kila mara.
Na Familia ya Mwalimu Nyerere ni Wazanaki wa Butiama.
Yaani ni sawa na Kusema
Mzito Kabwela ni ndugu yake na Slaa wakati Slaa Mchaga na huyu mzito ni Muhaya.