Andrew Nyerere na Yericko Nyerere: Poleni sana familia ya Nyerere kwa msiba huu.
Kapteni John Nyerere atakumbukuwa sana na wana anga wa jeshi kutokana na umahiri wake wa kumudu ndege za kivita wakati wa ujana wake.
Swali ni je kanisa katoriki litakubali kumzika sababu alikuwa akisali pale riverside kwa father Nkwera ambaye kanisa katoliki halitaki hata kumsikia.
But may his soul rest in peace.
Andrew Nyerere na Yericko Nyerere: Poleni sana familia ya Nyerere kwa msiba huu.
Kapteni John Nyerere atakumbukuwa sana na wana anga wa jeshi kutokana na umahiri wake wa kumudu ndege za kivita wakati wa ujana wake.
Wadau hivi tuseme mara ngapi kuwa huyu mtoto wa Kihehe HANA uhusiano na Mwalimu Nyerere?
Yaani kawatapeli kijinga na nyie mnaingia wazima!
Mjini kubaya sana. Huyu Yerico ni MUHEHE wale wenye tabia za kula wale wanyama wanaokatiza brbrni kila mara.
Na Familia ya Mwalimu Nyerere ni Wazanaki wa Butiama.
Yaani ni sawa na Kusema Mzito Kabwela ni ndugu yake na Slaa wakati Slaa Mchaga na huyu mzito ni Muhaya.