nakubaliana na wewe huu ni wakati wa kumuombea marehemu apumzike kwa amani na kuwatakia wafiwa wapate nguvu na utulivu kwa kuondokewa na ndugu yao.
Mambo ya usalama hayanihusu kama wanafanya kazi yao vizuri au la ila nachojua taifa liko salama. Tusiwape lawama maana hawana uwezo kisheria kumfunga mtu jela na polisi nao pia hawana uwezo huo.
Poleni sana wafiwa. Mwenyezi Mungu aonaye sirini awaguse mioyo yenu katika kipndi hiki cha sononeko na majonzi. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe