John mnyika umesema ukweli tupu....

John mnyika umesema ukweli tupu....

Joined
Feb 21, 2012
Posts
53
Reaction score
23
"TUMEFIKA HAPA KWA SABABU YA UDHAIFU WA RAIS KIKWETE,KWA UZEMBE WA BUNGE, NA KWA SABABU YA UPUUZI WA CCM". Kikwete asingekuwa dhaifu angeweza kusimamia sera yake ya maisha bora kwa kila mtanzania.. Kwa udhaifu wake ndio unafanya kuwa maisha bora kwa kila fisadi... Report ya CAG ni jibu la udhaifu wa kukwete. Uzembe wa bunge ni kutokufanya maamuzi yenye tija kwa nchi yetu na hilo linatokana na upuuzi wa ccm walio wengi na wenye nguvu katika bunge. Upuuzi huu unazidi kujidhihirisha katika bunge la sasa ambalo badala ya wa bunge wa ccm kujadili bajeti wanajadili Chama cha chadema ni viongozi wake.. Kutoa maneno ya kanda na mipasho.. Upuuzi mtupu... Imefikia hatua wameamua kufanya maigizo bungeni na kutuzana hela.... Upuuzi..EWE MWANZNCHI WA TANZANIA 2015 FANYA MAAMUZI SAHIHI. CHAGUA CHAMA MAKINI KILICHO NA VIONGOZI MAKIN WATAKAO TUTOA HAPA TULIPO..
 
Nyeupe ni nyeupe tu, haiwezi kuwa nyeusi or nyekundu!
 
awamu hii ccm watajinyonga maana hali yao mbaya sana hata wangeficha wapi, zitatoka tu hizo hela kwani ni zetu na si zao
 
"TUMEFIKA HAPA KWA SABABU YA UDHAIFU WA RAIS KIKWETE,KWA UZEMBE WA BUNGE, NA KWA SABABU YA UPUUZI WA CCM". Kikwete asingekuwa dhaifu angeweza kusimamia sera yake ya maisha bora kwa kila mtanzania.. Kwa udhaifu wake ndio unafanya kuwa maisha bora kwa kila fisadi... Report ya CAG ni jibu la udhaifu wa kukwete. Uzembe wa bunge ni kutokufanya maamuzi yenye tija kwa nchi yetu na hilo linatokana na upuuzi wa ccm walio wengi na wenye nguvu katika bunge. Upuuzi huu unazidi kujidhihirisha katika bunge la sasa ambalo badala ya wa bunge wa ccm kujadili bajeti wanajadili Chama cha chadema ni viongozi wake.. Kutoa maneno ya kanda na mipasho.. Upuuzi mtupu... Imefikia hatua wameamua kufanya maigizo bungeni na kutuzana hela.... Upuuzi..EWE MWANZNCHI WA TANZANIA 2015 FANYA MAAMUZI SAHIHI. CHAGUA CHAMA MAKINI KILICHO NA VIONGOZI MAKIN WATAKAO TUTOA HAPA TULIPO..

Dogo alinyoosha sana na ukweli siku zote unauma.
 
yote ni kweli lakin punguzen ukali wa maneno.

Kusema Kikwete ni mdhaifu, na ccm ni wapuuzi ndo maneno makali?
Mi nadhani angesema upumbavu au ujuha ndo ingekuwa maneno makali.
Vinginevye, Mnyika was right
 
Back
Top Bottom