Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika akizungumzia tukio la kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti, Bara wa chama hicho, John Heche, leo Asubuhi Mahakamani alipofika kwa ajili ha kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Tundu Lissu.
"Kama kukamatwa kwake John Heche kunahusiana na taarifa ya Uhamiaji ni jambo la kusikitisha sana, Polisi kutumia taarifa ambayo si ya kweli ya uhamiaji kumkamata."