mkuu kwa hiyo wewe unataka wanasiasa tu ndo waingie kwenye bunge maalumu la katiba? Je katiba ni ya wanasiasa tu? Vipi wakulima? Vip wafugaji? Hoja ya mh. Mnyika ina mashiko sana!Mbunge wa Ubungo John Mnyika anajenga hoja Bungeni kuwa idadi ya wajumbe wa Bunge la Katiba kutoka nje ya wabunge/wawakilishi iongezwe kufikia 290 kwa kuwa wale wabunge/wawakilishi wa vyama waliopo sasa wanatokana na vyama vya siasa. Tumjulishe tu mbunge kuwa wabunge wanagombea ubunge kwa tiketi za vyama lakini hawachaguliwi na wanachama wa vyama vya siasa pekee, wanachaguliwa na wanachama na wasio wanachama wa vyama vya siasa! Of course, finally lengo la upande wako linafahamika kuwa ni kutafuta namna ya kuiwezesha hoja ya serikali tatu kwa njia ya ujanja-ujanja. Wasiwasi wangu ni kuwa hata katika hao 290 anaowapigia debe yawezekana wengi wao wakawa na msimamo tofauti na ule anaodhani Mnyika na upande wake!! Eventually, wingi wa wajumbe wa Bunge la Katiba wasiotokana na vyama vya siasa inaweza kukosa mashiko na ikawa ni ufujaji wa fedha za walipa kodi tu!!!
Mbunge wa Ubungo John Mnyika anajenga hoja Bungeni kuwa idadi ya wajumbe wa Bunge la Katiba kutoka nje ya wabunge/wawakilishi iongezwe kufikia 290 kwa kuwa wale wabunge/wawakilishi wa vyama waliopo sasa wanatokana na vyama vya siasa. Tumjulishe tu mbunge kuwa wabunge wanagombea ubunge kwa tiketi za vyama lakini hawachaguliwi na wanachama wa vyama vya siasa pekee, wanachaguliwa na wanachama na wasio wanachama wa vyama vya siasa! Of course, finally lengo la upande wako linafahamika kuwa ni kutafuta namna ya kuiwezesha hoja ya serikali tatu kwa njia ya ujanja-ujanja. Wasiwasi wangu ni kuwa hata katika hao 290 anaowapigia debe yawezekana wengi wao wakawa na msimamo tofauti na ule anaodhani Mnyika na upande wake!! Eventually, wingi wa wajumbe wa Bunge la Katiba wasiotokana na vyama vya siasa inaweza kukosa mashiko na ikawa ni ufujaji wa fedha za walipa kodi tu!!!
Mwenzio lukuvi anamsifia sna Mnyika kwa kuwa mkweli na muungwa katika kujenga hoja.Mbunge wa Ubungo John Mnyika anajenga hoja Bungeni kuwa idadi ya wajumbe wa Bunge la Katiba kutoka nje ya wabunge/wawakilishi iongezwe kufikia 290 kwa kuwa wale wabunge/wawakilishi wa vyama waliopo sasa wanatokana na vyama vya siasa. Tumjulishe tu mbunge kuwa wabunge wanagombea ubunge kwa tiketi za vyama lakini hawachaguliwi na wanachama wa vyama vya siasa pekee, wanachaguliwa na wanachama na wasio wanachama wa vyama vya siasa! Of course, finally lengo la upande wako linafahamika kuwa ni kutafuta namna ya kuiwezesha hoja ya serikali tatu kwa njia ya ujanja-ujanja. Wasiwasi wangu ni kuwa hata katika hao 290 anaowapigia debe yawezekana wengi wao wakawa na msimamo tofauti na ule anaodhani Mnyika na upande wake!! Eventually, wingi wa wajumbe wa Bunge la Katiba wasiotokana na vyama vya siasa inaweza kukosa mashiko na ikawa ni ufujaji wa fedha za walipa kodi tu!!!
Inaonekana ni wasiwasi wako tu, hoja ya Mnyika ina mantiki sn kama ungemuelewa vizuri. Tambua hata uwepo wa wabunge waliopo sasa ni batili sababu waliapa kwa kuilinda katiba ya sasa na sio kuivunja na kutengeneza katiba mpya. So kwa kuwa wao wapo kibatili ni bora idadi ya wajumbe wanaotokana na makundi mbalimbali ya jamii ndio wanaopaswa kuongezeka.
wewe umelewa uccm ... huwezi kufikiria kinyume na barua ya ccm mliyopewa na kusomewa ... tumia akili yako kidogo kwani tatizo la serikali tatu ni nini?
mkuu kwa hiyo wewe unataka wanasiasa tu ndo waingie kwenye bunge maalumu la katiba? Je katiba ni ya wanasiasa tu? Vipi wakulima? Vip wafugaji? Hoja ya mh. Mnyika ina mashiko sana!