Mzee Malecela kipindi akiwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais alithubutu kutuletea serikali ta Tanganyika akishirikiana na wabunge 55 miongoni mwao Njelu Kasaka na Philip Marmo. Isingekuwa kuingiliwa kati na Mwalimu Nyerere, Malecela angeweza!
Jamani Tangayika ipo na itaendelea kuwepo na hivi karibuni itakuwa na miaka 50. Hiyo si Tanzania bara ila ni Tangayika - so hakuna mtu yoyote anaweza kuileta sasa hivi sababu ipo! Tukitaka kujua haipo basi tuangalie jinsi vongozi watakavyo ingia uwanja wa Taifa siku hiyo. PM akiingia kama mtu wa pili kutoka mwisho basi Tangayika Ipo akiingia mtu wa tatu toka mwisho na kuendelea basi tutakuwa tunasherehekea nchi ambayo haipo!

Mkuu, samahani kwa kukuambia kwamba hapo umechemsha. Viongozi wakuu wa nchi ki-protokali ni Rais wa JMTZ, Makamu wa Rais, na baada ya hapo anafuata Waziri Mkuu. Zile za kuwaingiza Rais wa Zanzibar na makamu wake ni fake protocol yenye lengo la kutowaudhi wazenji. Ndiyo maana hata ktk baraza la mawaziri Rais wa Zanzibar ni mjumbe (waziri asiye na wizara maalum). Makamu wote wawili wa Mhe. Rais wa Zanzibar au Waziri kiongozi wote hao hawamo katika baraza la mawaziri, ambalo ndicho kikao kikuu kuliko vyote cha kumshauri Mhe. Rais juu ya mambo yote yanayohusu utekelezaji wa madaraka yake kwa mujibu wa Katiba (ang. ibara ya 54 ya Katiba ya JMTZ).kiprotokali, Pinda yuko chini ya Sharif Hamad!
Mkuu, samahani kwa kukuambia kwamba hapo umechemsha. Viongozi wakuu wa nchi ki-protokali ni Rais wa JMTZ, Makamu wa Rais, na baada ya hapo anafuata Waziri Mkuu. Zile za kuwaingiza Rais wa Zanzibar na makamu wake ni fake protocol yenye lengo la kutowaudhi wazenji. Ndiyo maana hata ktk baraza la mawaziri Rais wa Zanzibar ni mjumbe (waziri asiye na wizara maalum). Makamu wote wawili wa Mhe. Rais wa Zanzibar au Waziri kiongozi wote hao hawamo katika baraza la mawaziri, ambalo ndicho kikao kikuu kuliko vyote cha kumshauri Mhe. Rais juu ya mambo yote yanayohusu utekelezaji wa madaraka yake kwa mujibu wa Katiba (ang. ibara ya 54 ya Katiba ya JMTZ).
Mzee Malecela kipindi akiwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais alithubutu kutuletea serikali ta Tanganyika akishirikiana na wabunge 55 miongoni mwao Njelu Kasaka na Philip Marmo. Isingekuwa kuingiliwa kati na Mwalimu Nyerere, Malecela angeweza!
New Tanganyika is coming soon. It might be in the next general erection. It's our time kuthubutu.
Sahihisha ndugu.New Tanganyika is coming soon. It might be in the next general erection. It's our time kuthubutu.