Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 4,038 Reaction score 3,034 Sep 27, 2015 #41 aiai654 said: Tunamtaka tajiri atufundishe jinsi ya kupata utajiri. Udongo wa karibu na waridi nao wanukia atiii Click to expand... Utauzwa mbuzi weeewe!
aiai654 said: Tunamtaka tajiri atufundishe jinsi ya kupata utajiri. Udongo wa karibu na waridi nao wanukia atiii Click to expand... Utauzwa mbuzi weeewe!
Msaranga JF-Expert Member Joined Feb 10, 2009 Posts 956 Reaction score 229 Sep 27, 2015 #42 hapa lowasa tuuu picha yako mpelekee mwenye picha.ukawa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hapa lowasa tuuu picha yako mpelekee mwenye picha.ukawa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
back town JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 471 Reaction score 365 Sep 27, 2015 #43 u take us on serious!
Pelekaroho JF-Expert Member Joined Sep 15, 2010 Posts 1,602 Reaction score 378 Sep 27, 2015 #44 Uongo mkubwa nyakati hizo za miaka ya 1960 picha za rangi zilikuwa hazijafika maeneo ya usukumani na maeneo mengi ya Tanganyika.
Uongo mkubwa nyakati hizo za miaka ya 1960 picha za rangi zilikuwa hazijafika maeneo ya usukumani na maeneo mengi ya Tanganyika.
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,031 Sep 27, 2015 #45 hahaha kwahiyo unatushawishi tumpigie kura kwa hiyo picha tu.....unadhani na sisi hatuna picha cha utotoni. Ni bora ungeleta summary ya sera alizosema leo kuliko kutuletea picha
hahaha kwahiyo unatushawishi tumpigie kura kwa hiyo picha tu.....unadhani na sisi hatuna picha cha utotoni. Ni bora ungeleta summary ya sera alizosema leo kuliko kutuletea picha
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 4,038 Reaction score 3,034 Sep 27, 2015 #46 Tunataka rais aliepitia shida ndo atatujali. kama Lula da silva aliekuwa rais wa brazil. now brazil wako vzr kiuchumi sababu ya da silva
Tunataka rais aliepitia shida ndo atatujali. kama Lula da silva aliekuwa rais wa brazil. now brazil wako vzr kiuchumi sababu ya da silva