GE2025 John Luhende ashinda kura za maoni ubunge wa Jimbo la Bukene

GE2025 John Luhende ashinda kura za maoni ubunge wa Jimbo la Bukene

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) John Luhende, ameibuka mshindi wa kura za maoni za kuwania ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora, baada ya kuzoa kura 6,274 na kuwaacha kwa mbali wapinzani wake akiwemo Mbunge aliyemaliza muda wake Selemani Jumanne Zedi, ambaye amekuwa wa tatu kwa kupata kura 828.

Aliyeshika nafasi ya pili Henerico Kanoga amepata kura 977, nafasi ya nne imechukuliwa na Semi Lutonja aliyepata kura 117.

Screenshot 2025-08-07 190434.png
 
Back
Top Bottom