Mkuu huku nchini inaonekana kazi ya maana kwako ni ubunge tu. Ni kweli anaweza asirudi bungeni kwanza kwa sababu unaposhindana kuna kushinda na kushindwa. Pili anaweza asirudi iwapo atagombea ubunge kwa sababu sasa hivi kuna siasa za kishenzi hapa nchini.