Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wanafamilia wa JF.
Ni wazi Freeman Mbowe amepoteza uhalali wa kuongoza Chadema kwa kuzingatia ukweli kuwa muda wake wa Uongozi umeisha kitambo japo hataki kuondoka madarakani.
Huu ni wakati muafaka kwa WanaChadema kumuondoa madarakani kwa njia zote iwe za kidemokrasia au kwa kufanya Mapinduzi ndani ya. Chama.
Kwa upande Mwingine naamini Mhesh John Heche anastahili kushika nafasi ya Kuongoza Chadema badala ya Mbowe.
Anazo sifa zote stahiki kama ifuatavyo:
1. Utii kwa Chama.
2. Uzalendo mkubwa kwa Chama chake na Taifa lake.
3. Ujasiri
4. Maono
5. Uadilifu.
6. Ushirikiano mkubwa kwa WanaChadema wote pamoja na VIONGOZI.
7. Anachukia rushwa kwa Vitendo.
8. Hana Upendeleo
9. Analindwa na Jiografia.
10. Muadilifu.
11. Uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi.
12. Uwezo mkubwa wa kuwaunganisha wanaChadema.
Nimshauri Mhesh Heche asihofu kuvaa viatu vya Mbowe hata kidogo.
John Heche Mwenyekiti mtarajiwa wa Chadema.
But I hope your a little bit more smarter John Heche than your predecessors!