Hii kitu ya kuwazuia upinzani miaka 4 wasifanye mikutano ndiyo inawapa mzuka wa nguvu wananchi. Yaani wananchi wana kiu kubwa sana ya kuwasikia hawa magalacha wa upinzani. Kwanza wanataka kujua nini wanachokijua kuhusu Serikali ya Awamu ya 5 ambacho Magufuli anakiogopa.
Pili wana sumpathise sana kwa jinsi Awamu ya 5 ilivyowatesa, kwa hiyo kila mkutano watafunga nyomi sana.
Aliyemshauri Magufuli kusimamisha shughuli za vyama vya siasa hadi uchaguzi alikosea sana. Kama alifanya mwenyewe basi ALIKURIPUKA