Dah, katika watu siwapendi huyu jamaa, kachangia kwa kiasi kikubwa sana kutukosesha ubingwa huyu, kila Azam ikicheza na Simba jamaa lazima afunge tena magolibya ushindi, kama kweli afadhari hatatufunga tena, karibu uraiani, huku simba na yanga mambo ni shaghala bagala ila soka bado linachezwa!John Bocco ni mali ya Simba,. Taarifa zinaeleza amesaini miaka miwili katika kikosi cha Simba.
Taarifa zinaeleza mkataba huo ni wa awali na inaonekana Bocco ameamua kutua Simba baada ya makubaliano yake na Azam baada ya mkataba wake kwisha, kuonekana unakwenda kombo.
Hata hivyo, Bocco amekuwa hapokei simu ili kulithibitisha hilo suala ingawa hivi karibuni alikanusha kila kilichoandikwa kwenye akaunti yake ya Instagram kuhusiana na kwamba ana mpango wa kuondoka Azam.
Alidai akaunti yake ilikuwa imetekwa lakini hali halisi ilionyesha kwamba hakuwa amezungumza lolote.
Afisa Habari wa Azam FC, Jaffar Iddi yeye alisema walikuwa katika mazungumzo na Bocco baada ya mkataba wake kufikia tamati.
New challenge kwake itamboost, ila ni bonge la straiker zaidi ya kina Mavugo!Ngoja tuone atafanya nini msimbazi, ila kiwango chake kama kimeshuka vile!!! [emoji86][emoji86][emoji86]
Usijali, ni mdogo zaidi ya Tambwe na Ngoma, kama tambwe bado anatupia, basi hamna tatizo.Umri?
40Umri?
Vipi points zenu za mezani mmepewa?John Bocco ni mali ya Simba,. Taarifa zinaeleza amesaini miaka miwili katika kikosi cha Simba.
Taarifa zinaeleza mkataba huo ni wa awali na inaonekana Bocco ameamua kutua Simba baada ya makubaliano yake na Azam baada ya mkataba wake kwisha, kuonekana unakwenda kombo.
Hata hivyo, Bocco amekuwa hapokei simu ili kulithibitisha hilo suala ingawa hivi karibuni alikanusha kila kilichoandikwa kwenye akaunti yake ya Instagram kuhusiana na kwamba ana mpango wa kuondoka Azam.
Alidai akaunti yake ilikuwa imetekwa lakini hali halisi ilionyesha kwamba hakuwa amezungumza lolote.
Afisa Habari wa Azam FC, Jaffar Iddi yeye alisema walikuwa katika mazungumzo na Bocco baada ya mkataba wake kufikia tamati.View attachment 514154
Vipi? Malinzi keshafanya yake?
Kuna watu wanaitwa Ma Mafia kipindi cha Usajili, na hao sio wengine bali ni Mabingwa wapya wa LigiKuu bara ...
Kaeni mkao wa kula mtakapo ona Kichwa cha habari kimeanza chini na Ujumbe umekaa nafasi ya kichwa cha habari...
Naaam huyo huyo aliyewaletea taarifa ya "salamu na pongezi za Infantino za Ubingwa kwa Yanga SC" na kukata ngebengebe zote za Rufaa ya Simba.Vipi? Malinzi keshafanya yake?
Acheni aveva afanye Yake! Tunampa pia shukrani za dhati sisi wana Jangwani kwa kutupatia njia nyepesi za kutwaa ndio kwa kipindi chake chote akiwa Madarakani.Aveva hakika amechoka , hivi huyu babu ni wa nini simba ?
Inawezekana Yanga wamepandikiza kitu simba , naanza kupata mwanga , na ndio maana Tarimba kaingia kwa njia ya Sportpesa , tukamtosa mwanetu MO .Acheni aveva afanye Yake! Tunampa pia shukrani za dhati sisi wana Jangwani kwa kutupatia njia nyepesi za kutwaa ndio kwa kipindi chake chote akiwa Madarakani.
Go Go Aveva, wanajangwani tuko nyuma yako!
Kwa taarifa JOHN BOCCO bado kinda. Urefu usikupe shida.Aveva hakika amechoka , hivi huyu babu ni wa nini simba ?