cutting crew mwaka 1986 walitoa nyimbo i just died in your arms
jay z akairudia
bon jovi walitoa Forever
jay z akakopi
nas na i can wameicopy kutoka kwa beethoven fur elise kama sikosei
haya mambo ni ya kawaida sana katika music industry dogo ndio maana halafu kuna kitu kingine unatakiwa ukijue katika productions za music kila producer ana touch zake
mie nikiisikiliza beat najua hii kaitengeneza will i made it, au jahil beat, au boi 1da, au t-minus,
hawa digi phonics kina soundwave beat zao zinafanana ndio maana nyimbo za kina black hippy kwa maana kendrick, schoolboy q na akina ab soul ni tofauti na nyimbo za kina drake
ila kendrick hujiulizi kwanini beat zake zinafanana na za jay rock