Jogoo kienyeji pure

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,115
MIEZI 6, chanjo nmezngatia maana nawafuga mwenyewe,wamebaki baada ya kusambaza oda za watu.mmoja ana asili ya kuchi. WAZURI KWA MFUGAJI 0764726071
 
DAR ES SALAAM, KATA YA GOBA, JIMBO LA KIBAMBA, HALMASHAURI YA UBUNGO, MBUNGE J.J MNYIKA.
 
MIEZI 6, chanjo nmezngatia maana nawafuga mwenyewe,wamebaki baada ya kusambaza oda za watu.mmoja ana asili ya kuchi. WAZURI KWA MFUGAJI 0764726071
Japo kapicha jaman!!!
 
cm yng haina uwezo wa kuweka pcha hapa
 
MIEZI 6, chanjo nmezngatia maana nawafuga mwenyewe,wamebaki baada ya kusambaza oda za watu.mmoja ana asili ya kuchi. WAZURI KWA MFUGAJI 0764726071
Hua anapanda mtungi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…