Mzee wa conspiracy theory. Hakuna cha urusi wala nini. D.trump kajikanyaga mwenyewe.Kweli Warusi wamelioiza kisasi kwa Marekani kwa kuwawekea lile zee kuwa rais wao
Na je akiwepo zikatokea .usi base upande mmojaKama juz wafuas wake wame fanya vurug na hata asipohudhuria ndio balaa maan watapiga hovy kwan hatokuwepo mdaa huo lakin kama angekuwepo Basi vurug Wala zisinge tokea
Akiwep akishikiriwa mbna wataacha tu vurug wafuas wakeNa je akiwepo zikatokea .usi base upande mmoja
Ninachoamin inauguratation day itafanyika salama na kila mmoja atarudi kwake salama ...hayo mambo ya fujo sidhani kama yatatokeaAkiwep akishikiriwa mbna wataacha tu vurug wafuas wake
Www Sas kama. Waliwez kufika bungen sembuse hapNinachoamin inauguratation day itafanyika salama na kila mmoja atarudi kwake salama ...hayo mambo ya fujo sidhani kama yatatokea
Haahaaahaaahaa Rais Reagan wakati anapishwa alikuwa na umri wa miaka 69, ni sio kama unavyotaka kutupotosha 93.Mzee wa conspiracy theory. Hakuna cha urusi wala nini. D.trump kajikanyaga mwenyewe.
Unadhani joe bi mzee? Ronald reagan alikuwa elected akiwa na umri wa miaka 93.
Kaka kuna vitu vipo calculated Sana ..sio vya kukurupuka... Mi nakwambia inauguratation itafanyika na maisha ya kawaida yataendeleaWww Sas kama. Waliwez kufika bungen sembuse hap
Tusiandikie mate na wino ungalipKaka kuna vitu vipo calculated Sana ..sio vya kukurupuka... Mi nakwambia inauguratation itafanyika na maisha ya kawaida yataendelea
Mbona Trump mwenyewe kasema hatahudhuriaRais mteule wa Marekani Joe Biden amesema Trump hataudhuria sherehe za kuapishwa kwake kwakuwa kadhalirisha Marekani.
Source: