Joe Biden asema Trump hataudhuria sherehe za kuapishwa kwake!

Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kuwa hatohudhuria kwenye sherehe za kuapishwa kwa Joe Biden kuwa Rais Mpya wa Marekani, Joe Biden amesema ni jambo zuri kwa Trump kutofika maana huenda anaweza kuharibu shughuli kama atakuwepo.

Marais watatu Wastaafu wa Marekani Barack Obama, George Bush na Bill Clinton wote kwa pamoja wamethibitisha kuwa watashiriki kwenye zoezi hilo la kuapishwa kwa Joe Biden.

Trump atakuwa Rais wa kwanza tangu Andrew Johnson 1869, kugoma kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais anayemkabidhi kijiti.
Shida kubwa ni kwamba Trump hakutegemea kushindwa uchaguzi na hakujiandaa kwa hilo, yaani inauma sana
 
Back
Top Bottom