Joe Biden asema Trump hataudhuria sherehe za kuapishwa kwake!

Genchi

Member
Aug 19, 2014
94
44
Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kuwa hatohudhuria kwenye sherehe za kuapishwa kwa Joe Biden kuwa Rais Mpya wa Marekani, Joe Biden amesema ni jambo zuri kwa Trump kutofika maana huenda anaweza kuharibu shughuli kama atakuwepo.

Marais watatu Wastaafu wa Marekani Barack Obama, George Bush na Bill Clinton wote kwa pamoja wamethibitisha kuwa watashiriki kwenye zoezi hilo la kuapishwa kwa Joe Biden.

Trump atakuwa Rais wa kwanza tangu Andrew Johnson 1869, kugoma kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais anayemkabidhi kijiti.
 
Kama juz wafuas wake wame fanya vurug na hata asipohudhuria ndio balaa maan watapiga hovy kwan hatokuwepo mdaa huo lakin kama angekuwepo Basi vurug Wala zisinge tokea
 
Kweli Warusi wamelioiza kisasi kwa Marekani kwa kuwawekea lile zee kuwa rais wao
 
Kama juz wafuas wake wame fanya vurug na hata asipohudhuria ndio balaa maan watapiga hovy kwan hatokuwepo mdaa huo lakin kama angekuwepo Basi vurug Wala zisinge tokea
Na je akiwepo zikatokea .usi base upande mmoja
 
I think wamarekani wamejifunza jambo kwa sababu madikteta dunia nzima wameshangilia sana hiki kitendo kilichoiaibisha Marekani.Madikteta dunia nzima wamejinadi kuwa Marekani haipaswi tena kunyooshea kidole madikteta.
7973950.jpg
 
Kweli awamu hii Marekani wamepatikana. Trump kawaachia doa ambalo itachukua muda kuja kufutika.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom