Wanafunzi wenzako wanao enda mwaka wa pili, iliwabidi wafanyiwe assessment na wakuu wa shule(kwa wanafunzh wa BAED) Mkoani kigoma kwa madai kwamba pesa ambazo wangetumia wakufunzi wakati wa field zimewekwa ktk ujenzi n.K. Kwa wazoefu sijui hii ni sawa ama vipi.