Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Tangaza kanisani. sisi wengine hatuna dini ila tunafundishwa mambo ya imani..
Jaman takehome msg ni tangazo lá Ajira suala lá kuchapia halituhusu kikubwa umeelewa msg ? suala lá kiimani hatao shule za dini zingine zinatangaza kuwa wa imani yao ni added advantage, Mimi nitaenda kuwasaka tuchangamkie fursa waelewa