Job seeker

Job seeker

DJPEREZ SHOW

Member
Joined
Jun 18, 2019
Posts
23
Reaction score
19
Naomba msaada, m nimetoka chuo mwezi wa nne mwaka huu VETA Shinyanga. Nina cheti kizuri na nina 4 ya 28 ya kidato cha nne. Naomba msaada kwa atakayekuwa na connection hata niwe msaidizi tu jamani, namba yangu ya simu 0746311461.

%2B255%20692%20058%20516%2020221126_202528.jpg
 
Apana nipo iringa ila naweza kuja ikitokea nafasi mana nimekaa sana mtaani bila msaada wowote
Iringa unakosaje kibarua? GNMS ,umeenda? Je kwa Gs umejaribu?

Umepata ujuzi wa mtambo mmoja TU?
Mafinga kumejaa viwanda vya veneer umejaribu kwenda? Kule zipo machine za kushusha na kupakia japo vingi ni vidogo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom