Am hlw guyz,am new n dic bt halla 2 al ,am jst lukn 4r a job 2 du co f any1 has heard of smplc lukn 4r customer crz n companiez,telecommunication,banks plz contanct me n ma number 0718211364 dat ma number
samahani kwani bangi ina mtuma mtu kuwaza,kuandika au kusema kile ambacho we wadhani hakifai katika jamii.Je,kosa la huyo kijana liko wapi na ian kuaje bangi inatajwa hapo ? unauhakika na ulichokiandika ? Kuna uhusiano kati ya wewe na bangi kwa undani zaidi ?

yaani unashida unataka kusaidiwa unaandika english ya kipuuzi namna hii?hata kama ni mimi sikupi kazi haijalishi nakujua au sikujui..
Andika maneno ambayo yanamgusa mtu ajisikie kukusaidia..tunajua english zaidi unavyofikiria...
Am hlw guyz,am new n dic bt halla 2 al ,am jst lukn 4r a job 2 du co f any1 has heard of smplc lukn 4r customer crz n companiez,telecommunication,banks plz contanct me n ma number 0718211364 dat ma number
kwa maelezo yako hata kama ingekua ninahiyo nafasi na unacolify nisingukupa chance cause UNGEKUA UNAVAA MILEGEZO OFISINI + HELENI NA KUSUKA NYWELE,so vuta subira ukue kdg then uombe tena.

Na wewe pia unaonyesha upeo wako wa kufikiri ni mdogo mkuu,kama umeshindwa kugundua kuwa dogo kachemka ktk uandishi.
Haonyeshi kuwa serious hata kidogo kwa jinsi alivyoandika huo ujumbe. Huko kwenye maofisi wanataka watu smart na wenye nidhamu. Mi kanichefua sana, mtu yeyote aliye makini na serious hawezi kumpa kazi wala kumsaidia kupata hiyo kazi.