Job Opportunities at TANROADS

Hawa Tanroad cjawai kuitwa na hii Pwani ilikua Mara yangu ya 4
Daah cjui huwa tunakosea wapi yaan, mie waliwahi kuniita mara moja tu, subr niangalie na hii ya Arusha kama wataniita ikiwa kama bado hawajaanza kuita watu
 
Kuna Engineer Leo nilikua nae anasema tatizo langu mm Naomba Weighbridge Operator, kweny CV Nimeweka update or degree kwahiyo nakua na qualification kubwa inafaa niweke CV ya diploma bila kuongeza Kitu. Me naweka degree nakosea
 
Hiyo kweli mkuu inawezekana maana hata mimi nina degree ila safar hii nimeiondoa degree imebakia diploma tu, ndio niko katika kusubiria
 
Vp wakuu hakuna aliepigiwa simu kwa ajili ya usaili tanroads -Arusha hadi leo?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…