... hiyo ndio ilifuta uzuri wa hoja yake for good! Alijonesha waziwazi ni mtu asiye na msimamo na mchumia tumbo. Kiongozi wa namna hiyo sio bold kuongoza mhimili kama Bunge kama inavyotakiwa that's why ni Bunge kibogoyo according to Prof. Asad, et. al.Laana atabaki nayo mwenyewe kwani kabla ya kujiuzulu aliikana hoja yake na kudai kuwa ile clip ilieditiwa.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Upo uwezekano wa vizazi vitakavyokuja huko mbeleni kumuona job ndugai shujaa aliyekataliwa na jamii nzima.
Hebu fikiria miaka kadhaa ijayo wajukuu wetu watakuta hali gani ya madeni na maendeleo kiasi gani?
Ikiwa watakuta nchi yetu ina madeni makubwa sana na huku maendeleo hakuna watarudi kwenye historia na kusoma kuwa miaka ya 2000 kulikuwa na spika wa bunge ambaye aliishauri serikali iache kukopa.
Kwa ushauri wake huo raisi alikasirika na jamii ikamshambulia kutoka kila kona na spika huyo aliamua kujiuzuru.
Wajukuu zetu wakikuta hayo wanaweza kumuona Job Ndugai shujaa na jamii nzima tunaomzodoa job leo tuonekane wapumbavu.
Let us work very hard to prove Job Ndugai wrong over generations.
ππππLaana atabaki nayo mwenyewe kwani kabla ya kujiuzulu aliikana hoja yake na kudai kuwa ile clip ilieditiwa.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Labda ww na ukoo wakoUpo uwezekano wa vizazi vitakavyokuja huko mbeleni kumuona job ndugai shujaa aliyekataliwa na jamii nzima.