Wanalip vizuri au ndo ubabaishaji wa kinshomile??as far as I know you being my Car insurer mna longolongo,ndo mana hata mhasibu wenu yule dada na CPA yake kasepa, naniliiiii alikuwa underwriter wenu kasepaaaaaaaa....do u need further details??mjipange bwana mnamuangusha mama Tibaijuka aaaaaah..next yr nawakimbia naenda kwa insurer mwingine