Fataki
Kweli kabisa kuna jamaa amesoma na demu wake chuo kimoja ila GPA ya jamaa kubwa lakini demu wake kapata kazi mapema kuliko yeye na wali apply sehemu moja na muda mmoja.
kazi gani mkuu hebu tupe maelezo yaliyojitosheleza
Shigongo type
i prefer to come personally can you give out the address plz