Railway Track maintenance alafu akafanye kazi ya kurepair rolling stock na locomotives kweli? Hii Tanzania hii kuna vituko mno.
Sasa waliosoma fani za ukarabati wa vichwa vya treni( locomotives diesel mechanic na locomotives diesel electricians) wamewapotezea na mafundi wa mabehewa (carriage and wagons examiners) daaah...