job application

Tunuku

New Member
Joined
May 8, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Hi wanajamii kama kuna mtu ambaye alishalipitia hilo gazeti la mwananchi la tar 6 atuambie
 
Hi wanajamii kama kuna mtu ambaye alishalipitia hilo gazeti la mwananchi la tar 6 atuambie

Nahisi unataka kujua short list ya uhamiaji. Kama ni kweli basi ungeomba ktk thread maana tayari ipo.
 
Jina lako nani maana ninalo hilo gazeti hapa mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…