Job application

wewe ni graduate au undergraduate? na hiyo 'it' ni nn? au ulimaanisha I.T vipi mwalimu wako wa comms skills alikuacha upite? na hiyo full experience ndio nini?
 
Duh mbona wa bongo tunakuwa na akili mbaya jamani magreater thnk mnatia aibu, jamaa ameandika vzr tu! Na anaeleweka na hata kama m2 ungekuwa na ubongo wa bata ungemuelewa tu!, ila sio kuponda na kuonyeshana kama mnajua kiingereza. . .
 
ndugu usipaniki lazima tuenzi lg yetu watu wapo kurekebishana kwa graduate kama yeye kuandika hv anajenga picha gani ya wasomi wetu? Kubali kukosolewa ukomae wabongo acheni mambo ya kusifiwa tu hata kama uko nje ya duara!
 
kwakua umesoma IT labdaa.... Au kama umefanya mzaha kuandika! Ushauri: kama ndo hv nakuomba tafuta mtu anayejua vizuri how to write an application letter akusaidie. Hapo hata mimi ningekua ndo meneja nisingeshawishika kuamini kua we ni graduate mwenye experience! Au umesomaaa....
 
Wanajf ni vizuri tukawa tunaelimishana pale tunapokosea na sio kupondana tu! Ila naimani kama jamaa angekuwa na uchu wa kazi asingeandika hivyo, yawezekana anamsaidia jamaa yake tu kutafuta kazi! Next time sidhani kama ataandika hivyo tena.
 
Duh mbona wa bongo tunakuwa na akili mbaya jamani magreater thnk mnatia aibu, jamaa ameandika vzr tu! Na anaeleweka na hata kama m2 ungekuwa na ubongo wa bata ungemuelewa tu!, ila sio kuponda na kuonyeshana kama mnajua kiingereza. . .
tehteh humu ndani huwez kutoka salama hata kama una ubongo wa bata wataluka na wewe
 
Back
Top Bottom