Umenigusa wakati nikiwa Geita Secondary School 1998 Kapuya akafuta mtihani kwani ulivunja hadi ukawa unabandikwa kwenye nguzo za umeme. watu tukaandaa nondo za kutosha 1999 na bado kikaeleweka
Naanza kwa kuweka wazi shule za jumuiya ya wazazi ambazo huajiri walimu wasio na sifa. (Kati ya wanaowaita walimu 15 utakuta walimu halali wenye vyeti vya ualimu ni wawili au watatu).