Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,360 Mar 6, 2013 #1 Wakuu nipo leo uwanjani hapo kuwaletea matukio yote yatakayojiri katika 90dk zote. Mpaka sasa timu zote zimeshaingia uwanjani na mpira umeshaanza huku matokeo yakiwa bila bila.
Wakuu nipo leo uwanjani hapo kuwaletea matukio yote yatakayojiri katika 90dk zote. Mpaka sasa timu zote zimeshaingia uwanjani na mpira umeshaanza huku matokeo yakiwa bila bila.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,360 Mar 6, 2013 Thread starter #2 Ni kona inapigwa kuelekea TP, inapigwa lakini inakuwa kona butu. JKT walifanya shambulizi hapa na mpira kuwa goal kick
Ni kona inapigwa kuelekea TP, inapigwa lakini inakuwa kona butu. JKT walifanya shambulizi hapa na mpira kuwa goal kick
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,360 Mar 6, 2013 Thread starter #3 Kiujumla mashabiki waliojitokeza hapa uwanjani siyo wengi sana na kila timu inajitahidi kupata bao la haraka haraka.
Kiujumla mashabiki waliojitokeza hapa uwanjani siyo wengi sana na kila timu inajitahidi kupata bao la haraka haraka.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,360 Mar 6, 2013 Thread starter #4 TP timu ilishaandika bao lakini refarii akasema yalifanyika madhambi kabla ya mpira kuingia kimiani. Hivyo hadi sasa bado milango ya timu zote bado ni migumu.
TP timu ilishaandika bao lakini refarii akasema yalifanyika madhambi kabla ya mpira kuingia kimiani. Hivyo hadi sasa bado milango ya timu zote bado ni migumu.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,360 Mar 6, 2013 Thread starter #5 JKT wanakosa bao hapa, mashabiki wanamlau refa kwa kuwanjima penalti ya wazi kabisa.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,360 Mar 6, 2013 Thread starter #6 JKT wanaandika bao la kuongoza katika kipindi hiki cha pili. Hivyo matokeo ni JKT 1 - T Prisons 0.