JKT kuripoti mwisho lini?

Ah umechelewa kikosini!

Jiandae kuruka uchura hapa mbaka Mexico
 
nshafika maliselo n noma huku na simu karibia 2nyanganywe siku ya kwanza 2mevuliwa nguo na vipara
 
jamaa kasema wamevuliwa. ila hajasema dhumuni la kuvuliwa.
 
Haya ngoja ya ngoswe tumuachie ngoswe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…