mgodi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,780 Reaction score 1,852 Apr 20, 2012 #21 Atakuwepo kwenye mazishi ya jenerali, akitokea kwa mfalme mwezake mswati.
Uliza_Bei JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 3,216 Reaction score 994 Apr 20, 2012 #22 Prezida! Mlidhani sharobaro ni mkulima wa mbarali? Subirini 2015 kama mmepata akili
Mtoboasiri JF-Expert Member Joined Aug 6, 2009 Posts 5,100 Reaction score 1,955 Apr 20, 2012 #23 Kwetu Iringa said: Wengine wanasema yu bado Brazil. Wengine wanasema yu Malawi. Wengine wanasema ..........................!!!! Nijuze tafadhalini Click to expand... Sipendi mtu kufa na kwa kawaida simtakii mtu kifo ila m.k.w.e.r.e akifa wala sitasikitika (kama ambavyo sikusikitika alipokufa Idd Amin).Mungu mwenye rehema na anisamehe kwa hilo, lakini kikwete anastahili kwenda The Hague!
Kwetu Iringa said: Wengine wanasema yu bado Brazil. Wengine wanasema yu Malawi. Wengine wanasema ..........................!!!! Nijuze tafadhalini Click to expand... Sipendi mtu kufa na kwa kawaida simtakii mtu kifo ila m.k.w.e.r.e akifa wala sitasikitika (kama ambavyo sikusikitika alipokufa Idd Amin).Mungu mwenye rehema na anisamehe kwa hilo, lakini kikwete anastahili kwenda The Hague!