usawa wa kulia
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 454
- 154
Heheheeee....huu mwaka kuna matukio mengi sana,
kila mtu ataibuka na lake...kesho atakuja gwajima naye
kama humkubali/humtaki lowasa KULA MALIMAO RUBII

Na mm nna langu na wewe mwaka huu
kinachotokea CCM saivi chanzo ni jk, ccm kuna kutoelewana kwa asilimia kubwa haijawah kutokea toka chama kiundwe....
1..JK uliruhusu bunge maalum la katiba kuwe na wawakilishi wa WACHAWI/WAGANGA WA KIENYEJI ila ukawanyima muwakilishi MAKANISA YA KIROHO, walikuomba sana ukawakebehi na kuwadharau viongozi hao wa kilokole, WAKAONA SOLN NI KUFUNGA NA KUMLILIA MUNGU BABA, na maombi yao ilikua ni TUNAWACHANGANYIA LUGHA CCM WASIELEWANE KAMA ILIVYOKUA KWENYE MNARA WA BABEL!
....2..kuna mgogoro uliingia na askofu kakobe japo tanesco ndo walihusika akakuandikia barua ila ukamdharau, AKAKUJIBU KWA BARUA NYINGNE KUA wataomba maombi YA KUWACHANGANYIA LUGHA MSIELEWANE NDANI YA CCM,.maombi haya yamefanikiwa hata juzi tuliona kwenye vikao vya NEC na bado hali hyo inaendelea
SIKU NYINGNE UJIFUNZE KUTODHARAU WATUMISHI WA MUNGU
Khaaaaa! lako na mie tena?
Mungu ataisambaratisha ccm zaidi ya alivyoisambaratisha baabeli na watu wote waseme amina.kinachotokea CCM saivi chanzo ni jk, ccm kuna kutoelewana kwa asilimia kubwa haijawah kutokea toka chama kiundwe....
1..JK uliruhusu bunge maalum la katiba kuwe na wawakilishi wa WACHAWI/WAGANGA WA KIENYEJI ila ukawanyima muwakilishi MAKANISA YA KIROHO, walikuomba sana ukawakebehi na kuwadharau viongozi hao wa kilokole, WAKAONA SOLN NI KUFUNGA NA KUMLILIA MUNGU BABA, na maombi yao ilikua ni TUNAWACHANGANYIA LUGHA CCM WASIELEWANE KAMA ILIVYOKUA KWENYE MNARA WA BABEL!
....2..kuna mgogoro uliingia na askofu kakobe japo tanesco ndo walihusika akakuandikia barua ila ukamdharau, AKAKUJIBU KWA BARUA NYINGNE KUA wataomba maombi YA KUWACHANGANYIA LUGHA MSIELEWANE NDANI YA CCM,.maombi haya yamefanikiwa hata juzi tuliona kwenye vikao vya NEC na bado hali hyo inaendelea
SIKU NYINGNE UJIFUNZE KUTODHARAU WATUMISHI WA MUNGU
Ndio! Nitakutafuta jukwaa lile la kule! Tutajua km ni UKAWA ama UKIWA!
kinachotokea CCM saivi chanzo ni jk, ccm kuna kutoelewana kwa asilimia kubwa haijawah kutokea toka chama kiundwe....
1..JK uliruhusu bunge maalum la katiba kuwe na wawakilishi wa WACHAWI/WAGANGA WA KIENYEJI ila ukawanyima muwakilishi MAKANISA YA KIROHO, walikuomba sana ukawakebehi na kuwadharau viongozi hao wa kilokole, WAKAONA SOLN NI KUFUNGA NA KUMLILIA MUNGU BABA, na maombi yao ilikua ni TUNAWACHANGANYIA LUGHA CCM WASIELEWANE KAMA ILIVYOKUA KWENYE MNARA WA BABEL!
....2..kuna mgogoro uliingia na askofu kakobe japo tanesco ndo walihusika akakuandikia barua ila ukamdharau, AKAKUJIBU KWA BARUA NYINGNE KUA wataomba maombi YA KUWACHANGANYIA LUGHA MSIELEWANE NDANI YA CCM,.maombi haya yamefanikiwa hata juzi tuliona kwenye vikao vya NEC na bado hali hyo inaendelea
SIKU NYINGNE UJIFUNZE KUTODHARAU WATUMISHI WA MUNGU
Ahahahaaa....huu naona kama ni UKIWA flani hivi amaizing
Nimeipenda neno la mwisho!
Mungu ataisambaratisha ccm zaidi ya alivyoisambaratisha baabeli na watu wote waseme amina.