My hypothesis about you stands, however I stand to be corrected.
Mie naenda kulala, hilo wazo la huyo mkulima hapo juu vipi?
Nimechoka kuandamana kimawazo, sleep tight FF
Wallah! ntakuota miye
Kwa nini tuandikie mate, peni ni intact.Ukioniota jichue, usisahau eenhh!
Thanks Mkuu, lakini kiongozi akichaguliwa kuwa Rais, hatakiwi kuwa passive, anatakiwa kuwa pro-active.JK a.k.a Vasco Dagama a.k.a Globe Trotter - Asilaumiwe. Vizee na vikongwe vya Magamba ndivyo vilikosea kumdhibiti asitekeleze yote yaliyosheheni katika hotuba yake ya kwanza ya kihistoria ya 2005 wakati analizindua Bunge kipindi hicho. Sasa afanyeje - Trot around the Globe watajiju!! Kwanza amejitahidi sana kuyaanika na kuruhusu yaanikwe madudu mengi yaliyojili katika awamu ya tatu. (paradox - eh)
Kwa nini tuandikie mate, peni ni intact.
Lakini kukuota haikuwa shida, tena ulikuwa kale kasamaki katamu katamu-changudoa.
Yap, utamuota au umeshamuota? banaa! dhulma mbaya mpe ela yake bana! Kwa vile alikusumbua kwa mbio chakani huku na visingizio nanyonyesha, nanyonyesha nini? ulimpiga mtama wewe, mpoze basi hata buku jero! raha yoooote uliyopata? ngoja nami nivute hisia nijaaliwe niote! nikifanikiwa nitawajuza.My hypothesis about you stands, however I stand to be corrected.Mie naenda kulala, hilo wazo la huyo mkulima hapo juu vipi?Nimechoka kuandamana kimawazo, sleep tight FFWallah! ntakuota miye
Nyuki mkali asali yake tamuWewe imekushinda potea.
Yap, utamuota au umeshamuota? banaa! dhulma mbaya mpe ela yake bana! Kwa vile alikusumbua kwa mbio chakani huku na visingizio nanyonyesha, nanyonyesha nini? ulimpiga mtama wewe, mpoze basi hata buku jero! raha yoooote uliyopata? ngoja nami nivute hisia nijaaliwe niote! nikifanikiwa nitawajuza.
Threats don't work always!!Mada imewashinda. FF kawashinda kwa hoja. Iliobaki mnaanza matusi, mnajulikana tu watu wenye upeo finyu. Msiharibu mada za watu, mkiendelea tunaowaombea ban, msilalamike.
this is just ana impact poorly planned programme. tanzania tuna perenial rivers kama kalambo falls na lumakalya yenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya 250 . siasa nchi zinaua . hakuna mkakati wa dhati ispokuwa mkakati wa kisiasa zaidi. dodma jangwa ilikuwaje waweke dam kule badala ya kalambo na lumakaslya?Broda , kuelewa hayo uliyoainisha inataka Hikma, kitu ambacho kwa huyo ****** 'Meti-Onyo', yaani hamna kitu! Anaongea BBC kuwa shida ya umeme Tz inaletwa na ukame, wakati anajua wazi watu wanahongana billions ili kuliua Taifa kupitia bajeti ya Wizara ya Nishati! Anachekelea hata hayo, anashindwa kuamua, wakati anayo full-support ya Bunge lote na Wananchi wote! My Hairs!
Threats don't work always!!
yaalah, kuchua, kutumia mate sawa eeh! kazi ya juma kuchuma ya mwajuma kukaa ndani! kaa uwani mpikie rojo bwaana! haya huyawezi! watu wamepinda na wanauchungu humu na kero za magamba, ukishughulikiwa kwenye ndoto si vibaya!Mada imewashinda. FF kawashinda kwa hoja. Iliobaki mnaanza matusi, mnajulikana tu watu wenye upeo finyu. Msiharibu mada za watu, mkiendelea tunaowaombea ban, msilalamike.
yaalah, kuchua, kutumia mate sawa eeh! kazi ya juma kuchuma ya mwajuma kukaa ndani! kaa uwani mpikie rojo bwaana! haya huyawezi! watu wamepinda na wanauchungu humu na kero za magamba, ukishughulikiwa kwenye ndoto si vibaya!
Mkuu kuondoka madarakani si rahisi mradi CCM tupo wengi.gwakisa, unaeleza vitu gani?? Hapa magamba wawaombe RADHI Wananchi Kwa usanii wote mnaoufanya, kisha MUONDOKE MADARAKANI Mkavuane magozi sijui magamba mtajijua wenyewe. Sasa INATOSHA INATOSHA! No nosence! hayeni muda utasema!
yaalah, kuchua, kutumia mate sawa eeh! kazi ya juma kuchuma ya mwajuma kukaa ndani! kaa uwani mpikie rojo bwaana! haya huyawezi! watu wamepinda na wanauchungu humu na kero za magamba, ukishughulikiwa kwenye ndoto si vibaya!
Wee mbuguma, mkwala huo liwalo naliwe, liwalo na liwe humu wengine hatuna faida wala hasara! nakushangaa eti hoja una hoja wewe? unachonga, watu tumepigika hadi kuzikana na magunia! watoto wetu wamechakachuliwa sasa wanacheza gololi shuleni! mnawaandaa kuwa mateja kwa madawa ya kulevya! unainua kidole mmeshindwa hoja! Tafadhali usinitie kichefu chefu na glasi yako ya kohozi.Tuongee hoja, zinawashinda? mlijidai fujo zenu,mkatulizwa, sasa hivi kimya! na humu mkianza fujo tutawatuliza. Kama mtakuwa na ustaarabu tutajadiliana kama mnaaanza matusi, tunajuwa cha kuwafanya.
Mamsap weye ni malkia wa mipasho na kujaza server.Tuongee hoja, zinawashinda? mlijidai fujo zenu,mkatulizwa, sasa hivi kimya! na humu mkianza fujo tutawatuliza. Kama mtakuwa na ustaarabu tutajadiliana kama mnaaanza matusi, tunajuwa cha kuwafanya.