Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Watu wanazidi Kuvutiwa na Pozi la Rais Kikwete Msanii Ommy Dimpoz naye amemuiga mi naona na yeye kakosea Ukiangalia vidole vya Mkono wa kushoto aliuweka Karibu na Sikio amevikunjua Ommy dimpoz yeye amevikunja.
Miguu Nayo JK kaionesha yote Ommy dimpoz kafunika na Unjayo wake mguu wa Pili.
Haya yote ni Mahaba kwa Rais Kikwete. Watu wengi wanapiga Pozi hilo they can do Better.
Miguu Nayo JK kaionesha yote Ommy dimpoz kafunika na Unjayo wake mguu wa Pili.
Haya yote ni Mahaba kwa Rais Kikwete. Watu wengi wanapiga Pozi hilo they can do Better.